08:51
Msanii
wa Muziki wa Kizazi Kipya ambaye huwa anaishi na kufanya Kazi nchini
Uingereza Naj amefunguka kuwa Tangu aachane Mr Blue zaidi ya Mwaka mmoja
na miezi kadhaa iliyopita hajawahi kukutana na Mwanaume na wala
hajawahi kumpenda mwanaume yeyote, Naj amefunguka hivi karibuni kabla
hajaelekea U.K akaendelea kunitiririkia kuwa alikua na Mr Blue kwa miaka
mitano na ikaishia kwa yeye kukimbiwa na Blue akamkana hadharani na
kuanzisha mahusiano na mwanadada mwingine hali iliyomhuzunisha na
kujutia muda wake, Naj akamalizia kwa kuniuliza Je angeutumia muda huo
kwa kupiga kazi si angekua mbali sana? kwa hiyo sasa hivi anacho angalia
ni kazi tu kwa kwenda mbele, yuko singoooooooooooooo,
Mr Blue na Naj Mr
Blue aliachana kwa mbwembwe sana na Naj, kwanza alitokea katika front
page ya Gazeti La babkubwa akiwa na Naj na toleo lililofata akatokea
katika front page ya Gazeti hilohilo akiwa na mama mtoto wake Wahida
kipindi hiyo ana ujauzito wa mtoto wao Sameer
Mr Blue na Wahida
Mama wa mtoto wa Mr Blue Wahida akiwa na Mtoto wa Sameer, wote wanaishi ndani ya Nyumba Moja
source: tz yakijana.com
0 comments:
Post a Comment