Manaiki pia inasemekana amejiunga na kundi la Ze Comedy Show linalofanya
kazi na EATV...Jamaa amekua anakiburi cha kumlazimu kufanya ufuska huo
kwa kile anachodai yeye kuwa anaweza kufanya lolote kwa kuwa pesa
inaongea.
Mbali na wadhifu alionao jamaa huyo, pia ilishawahi kusikika kuwa
anamtaka mwanadada WASTARA (mke wa marehemu Sajuki). Hivyo Wastara
ameonywa na baadhi ya wadau wake kujihadhari na jamaa huyo mwenye pepo
la uasherati.
0 comments:
Post a Comment