Inaaminika
katika mapenzi au uhusiano wa kimapenzi uliowahi kuandikwa sana kwenye
mitandao na magazeti Tanzania, huu wa mwigizaji Wema Sepetu na Diamond
Platnumz umevunja rekodi, mastaa ambao walifikia mpaka kuvalishana pete
ya uchumba.
Pamoja na yote waliyopitia bado kalamu za Waandishi mbalimbali zilihusika kuwaandika.
Ommy Dimpoz ambae ni rafiki wa Diamond kitambo hata kabla hatawa staa
(Ommy) ameshea hii picha inayowaonyesha Wema na Diamond walipokutana
kwa mara ya kwanza na kuiambatanisha na hii caption hapa chini.
source: millardayo.com
Friday, 28 March 2014
Picha ya siku ya kwanza Diamond Platnumz anakutana na Wema Sepetu ipo hapa
09:41
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment