Mbali
na kuwa ni video mpya lakini ni video ambayo inaingia kwenye headline
hasa hapa zilipofanywa video mbili ambazo zote zimetayarishwa na
Director mmoja,Chuna Buzi ndiyo jina la wimbo huu ambao mbali na kuwa
kwenye wimbo siku chache zilizopita Shilole ali-amplify taarifa za
kufungua mgahawa wenye jina hilo.
Audio imefanywa kwa Mazuu pale Mazuu Records na video imefanywa na
Nisher ambaye ndiye alie Direct video yake ya wimbo wake uliopita wa
Nakomaa na Jiji.
Bonyeza play kusikiliza.
Tuesday, 1 April 2014
CHEKI VIDEO MPYA YA SHISHI (SHILOLE) BABY CHUNA BUZI
05:54
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment