Hivi
ni vipande vya video ya wimbo ambao umefanywa na wasanii 19 kutoka
Africa ambao walikutana South Africa kwa ajili ya kampeni ya Do Agric
ambao ni mradi kutoka One Campaign wimbo huo unaitwa Cocoa na
Chocolate,miongoni mwa Madj walienda kushuhudia uzinduzi huo ni pamoja
Dj Fetty kutoka Clouds Fm.
Kampeni hiyo ni kwa ajili ya kuhamasisha kilimo kwa vijana na wasanii
wamekutana Lagos nchini Nigeria kwa ajili ya uzinduzi wa video hiyo
ambao unafanyika leo March 31,zaidi ya wasanii 19 kutoka katika nchi
mbali mbali Africa wakiwemo Diamond (Tanzania) D’Bhanji na Femi Kuti
(Nigeria), Fally Ipupa (DRC) na wengine wengi.
Video hiyo imekamilika na muda wowote kuanzia leo March 31 itaanza kuonekana kwenye vituo mbalimbali vya televisheni.
Hivi ni vipande vya video hiyo.
Tuesday, 1 April 2014
Tazama vipande vya video waliyoenda kufanya wasanii mbalimbali wa Africa akiwemo Diamond na Ay.
05:43
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment