Wednesday, 31 July 2013

inside mwanza: Baada ya Watanzania kukamatwa na dawa za kulevya, ...

inside mwanza: Baada ya Watanzania kukamatwa na dawa za kulevya, ...: Kwenye Exclusive interview na millardayo.com Madee amehadithia kila kitu kilichomtokea wakati anaingia tu Afrika Kusini siku kadhaa ziliz...

BAADA YA FID Q MSANII YOUNG KILLA NDIO ANAEKUBALIKA KWA SASA JIJINI MWANZA

Huu ni Uchambuzi binafsi tuliofanya bongoclassic.blogspot.com.Kama mjuavyo mashabiki wa muziki huu wa kizazi kipya hasa muziki wa Hip Hop. Jiji la Mwanza limekuwa likifanya vizuri sana kwenye muziki huu wa Hip Hop na hilo limejiziilisha kwa mwanamuziki mahiri kutoka pande za Mwanza Fid Q kusimama imara na kuiwakilisha vizuri Hip Hop pande za Mwanza Kupitia mwanaharakati wa blog yetu aliweza kufatilia na kuongea na wadau wa muziki huu jijini...

Raia wa Zimbabwe wachagua rais mpya

Raia wa Zimbabwe wanapiga kura katika uchaguzi wa Urais unaotajwa kuwa na ushindani mkali huku kukiwa na madai ya udanganyifu. Rais Robert Mugabe wa miaka 89 amesema atang'atuka ikiwa yeye na chama chake cha Zanu-PF watashindwa. Waziri Mkuu Morgan Tsvangirai na chama chake cha Movement for Democratic Change (MDC) wamelalamikia Zanu-PF kwa kuhitilafiana na utaratibu wa uchaguzi ili kunyakua ushindi, lakini chama tawala kimekanusha madai...

Baada Ya Wimbo Wa Majanga Kusumbua Sana Mitaa, Huu Ndio Ujio Wake Mpya Snura - Nimevurugwa, Download Na Sikiliza Hapa

Mara ya mwisho nimezungumza na Snura, ilikuwa kuhusu ujio wake mpya baada ya Majanga na mategemeo ya watu kuhusu mziki wake, Snura alinihakikishia kuwa atarudi na atafanya vizuri kwani amejipanga toka inatoka Majanga. So My Brother Na Sisters Wimbo wake Mpya Huu Hapa, Nipe Mtazamo wako kwenye Facebook na twitter @sammisago asant...

Baada ya Watanzania kukamatwa na dawa za kulevya, hiki ndio kimemkuta Madee akiingia Afrika Kusini

Kwenye Exclusive interview na millardayo.com Madee amehadithia kila kitu kilichomtokea wakati anaingia tu Afrika Kusini siku kadhaa zilizopita ambapo hii imetokea kutokana na ukubwa wa habari, uzito wa tukio la wale Watanzania wawili wasichana waliokamatwa kwenye kiwanja cha ndege Johannesburg wakiwa na dawa za kulevya wakitokea Tanzania. Madee anakwambia alipotua kwenye kiwanja cha ndege, kawaida huwa kuna utaratibu wa kuchekiwa hati ya...

MAHAKAMA YAHAIRISHA KESI YA LADY DHIDI YA CLOUDS FM LEO

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, leo imeiaharisha kesi inayomkabili msanii wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura 'Lady Jaydee' a.k.a Annaconda dhidi ya uongozi wa Clouds Media Group hadi Agosti 2, mwaka huu. Kesi hiyo ya madai iliyopo mbele ya Hakimu Athumani Nyamlani, leo ililetwa kwa ajili ya kusikilizwa lakini ilishindikana kutokana na wakili anayemtetea, Jaydee kutotokea mahakamani hapo na kumtuma mwakilishi wake. Ilidaiwa...

Tuesday, 23 July 2013

Umeiona Studio Mpya Ya Quick Rocka,Switcher Records, Picha Kutoka Instagram Yake Hizi.

Quick Rocka aka The Switcher ,Rapper aliyeanza Na The Rockas na baadae kuja kufanya kazi kama solo artist chini ya lebel ya Mj Records alipotoa single ya Bullet ft Q Jay ambayo ndio ilimpa umaarufu zaidi Tanzania amefungua studio yake. Jina la studio hio ni Switcher Records. Source: DjfettyBlog ...

The world gets its first glimpse at a tiny prince.

By Laura Smith-Spark CNN LONDON (CNN) — The public got its first view of the new heir to the British throne Tuesday as Prince William and Catherine, the Duchess of Cambridge, left a London hospital hospital with their newborn son . “It’s very special,” said William, who emerged from St. Mary’s Hospital with his wife a day after the birth of their still-unnamed son. Catherine held the child, wrapped in a cream- colored blanket, as the couple waved to...

Monday, 22 July 2013

MWANAMFALME MWINGINE KUZALIWA LEO NCHINI UINGELEZA

nchini Uingereza watu wanasubiri kwa hamu na ghamu kupata habari za kuzaliwa kwa mwanamfalme mwingine....kwani mkewe Prince William, Kate Middleton anatarajiwa kujifungua mtoto hii leo. Tayari amekimbizwa hospitalini akiwa anaumwa tayari kwa hilo....

ORODHA YA SHULE MIA BORA BARANI AFRIKA TANZANIA HAKUNA HATA MOJA.

Kwa maoni yako, nini hufanya shule kuwa bora? Hii ni orodha ya shule 100 bora Afrika (Kwa mujibu wa mtandao wa The African Economist): 1. Grey College South Africa 2. Rift Valley Academy Kenya 3. King Edward VII School South Africa 4. Hilton College South Africa 5. St. George’s College Zimbabwe 6. Prince Edward School Zimbabwe 7. International School of Kenya Kenya 8. Accra Academy Ghana 9. Lycée Lamine Guèye Senegal 10. Adisadel College Ghana 11....

Friday, 19 July 2013

Said Mohamed Saad - Mmiliki wa Home shopping Centre, amwagiwa tindikali!

Tetesi zilizonifikia ambazo SI NZURI (kwa tunaopenda kuona wenzetu hata tukiwa na tofauti nao) zinaashiria kama kuna kitu kisicho cha kawaida kimemkuta bwana huyu hii leo. Vyanzo vyangu vya kuaminika vinanihabarisha kuwa bwana huyu yamemkuta ya kumkuta. Kuna mwenye kuwa na 'ukweli' au 'tetesi' zaidi? ==============UPDATES: ============== Taarifa za awali zinadai kamwagiwa Tindikali maeneo ya Msasani City Mall muda wa saa 2. Ni jirani na Ubalozi...

›Mwanafunzi wa Darasa la tatu auawa kikatili.

Mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kizega wilayani Iramba Bi. Mariamu Alphonce mwenye umri wa miaka kumi ameuwawa kikatili kwa kukatwa shingo na kucharangwa kwa panga sehemu mbalimbali za mwili wake na kaka yake bwana Elibariki  Alphonce.   Akieleza kwa uchungu baba wa mtoto huyo bwana Alphonce Msengi amesema alipofika nyumbani kwake majira ya saa kumi na moja jioni alikuta damu nyingi na alipo angali vizuri alimuona...

ALICHOKIANDIKA KALA KWENYE UKURASA WAKE WA FACE BOOK

Kala jeremiah Yesterday wAKATI AMANI INALEGALEGA NI MHIM KILA MMOJA WETU KUJUA KUWA ANAPASWA KUILINDA AMANI KWA NGUVU ZAKE ZOTE BILA KUJALI NAFASI YAKE MATOKEO YA KUTOWEKA KWA AMANI YANAAMBATANISHA MAMBO MENGI SANA AMBAYO HULIACHA TAIFA HUSIKA KATIKA WAKATI MGUMU.HULETA VITA, HUTESA SANA WAMAMA,HUTESA SANA WATOTO, WAZEE HUFA KWA PRESHA HATA KABLA YA KITENDO CHA KUWAUA HAKIJATENDWA,WABABA HUGEUKA CHAMBO,VIJANA HUTEKWA NA KULAZIMISHWA KUUA...

›Nyaraka mbalimbali za polisi zaibwa Mwanza

  Watu wasiojulikana  wamevunja na kuiba nyaraka mbalimbali za jeshi la polisi mkoani Mwanza, huku kamanda wa polisi mkoani humo naibu kamishna Ernest Mangu akihaidi kuwafukuza kazi baadhi ya askari polisi watakaobainika kuhusika katika tukio hilo.  Kamanda Ernest Mangu amewaambia waandishi wa habari jijini Mwanza kwamba watu hao ambao bado hawajafahamika majina yao , usiku wa kuamkia leo wameingia kwenye ghala la kuhifadhia vielelezo...

›Watu wanne wamekufa katika ajali ya basi Mkoani Dodoma.

Watu wanne wamefariki dunia papo hapo na wengine tisa kujeruhiwa katika ajali ya basi mali ya kampuni ya Najimunisa lililokuwa likitokewa jijini Dar es Salaam kuelekea jijini Mwanza baada ya tairi ya mbele ya basi hilo kupasuka na kusababisha kukosa mwelekeo na hatimaye kupinduka katika mji mdogo wa Mbande wilaya ya Kongwa mkoni Dodoma.   Akizungumzia ajali hiyo kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Suzan Kaganda amesema kuwa basi...

TITO VILANOVA ATANGAZA KUACHANA NA UKOCHA.

Kocha wa Barcelona Tito Vilanova (pichani) atangaza kuacha kazi rasmi toka leo kutokana na kuendelea kusumbuliwa na saratani ya koo na matezi ya mate. PICHA | GETTY/AF...

IPE MAKSI GARI HIII

gali  yenye mataili si...

Uliwahi kufikiria kuna siku utaletewa video kama hii ya jinsi mchezaji mpole kama Ronaldinho alivyotupiwa mawe uwanjani?

  Wakati mwingine inatia huruma pale anapoonewa bila sababu mtu mpole kabisa na ambae humudu kuzizuia hasira zake hata anapokatwa makusudi uwanjani, mtu ambae hajawahi kushuhudiwa na wengi akifanya ukorofi wowote, mtu ambae sifa yake nyingine kubwa iliyomfanya kupendwa zaidi ni utulivu na anaependa amani. Sasa imemtokea kwa staa ambae ni raia wa Brazil Ronaldinho wakati Atletico Mineiro walikua wanacheza kwenye Copa Libertadores vs Olimpia...

WEMA AMKUMBUKA SHOSTI YAKE SNURA. A.K.A MAMA MAJANGA.

wemasepetu 21 hours ago late #tbt Follow cute9sakky, batuliramadhani, deonatus and 781 others like this. joanbibiejohninahusiana nn picha na swaum na ramadhan.. joanbibiejohnkwani jmani.watu tunaulizan kufunga hvi..hta akifunga ndo akusaidie dhambi zaki.mwachen Mama wema jmn...Miak mia..mtt wa watu asitum picha wema hufungi.lol saroundlifeKakobe huyo rahmaameram sorry. ur eye brows are barely visible!! n plz do them proffesionaly. xxx @wemasepetu clarrraame just love u lol mbilikendaahatujafunga isdavikufunga...

PICHA TANO ZA MTANZANIA ALIYOKO MMAJARIBIO NCHINI UJERUMA.

Mtanzania Japhet vedastus akiwa mazoezini akiwa anapiga control na mytanzania mwenzake frank sekule akibadilishana mawazo na raia wa ujeruman miss Paul...

LIL WYNE

For this weeks ‪#‎ThrowbackThursday‬’s segment, we’re reliving some of Lil Wayne and Nicki Minaj’s greatest collaborations. Whether it was on a mixtape or album, there’s always something special when The King and Queen hit a track. Count down the Top 10 for ‪#‎TBT‬ on YoungMoney.com - http://YMU.LA/1ejcl5 Which Lil Wayne and Nicki Minaj collaboration is your favorite? ·        ...

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...