Mara ya mwisho nimezungumza na Snura, ilikuwa kuhusu ujio wake mpya baada ya Majanga na mategemeo ya watu kuhusu mziki wake, Snura alinihakikishia kuwa atarudi na atafanya vizuri kwani amejipanga toka inatoka Majanga. So My Brother Na Sisters Wimbo wake Mpya Huu Hapa, Nipe Mtazamo wako kwenye Facebook na twitter @sammisago asante.
0 comments:
Post a Comment