Friday, 19 July 2013

TITO VILANOVA ATANGAZA KUACHANA NA UKOCHA.

BARCA YAPOTEZA MENEJA: Kocha wa Barcelona Tito Vilanova (pichani) atangaza kuacha kazi rasmi toka leo kutokana na kuendelea kusumbuliwa na saratani ya koo na matezi ya mate. PICHA | GETTY/AFP
Kocha wa Barcelona Tito Vilanova (pichani) atangaza kuacha kazi rasmi toka leo kutokana na kuendelea kusumbuliwa na saratani ya koo na matezi ya mate. PICHA | GETTY/AFP

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...