Wednesday, 31 July 2013

BAADA YA FID Q MSANII YOUNG KILLA NDIO ANAEKUBALIKA KWA SASA JIJINI MWANZA


Huu ni Uchambuzi binafsi tuliofanya bongoclassic.blogspot.com.Kama mjuavyo mashabiki wa muziki huu wa kizazi kipya hasa muziki wa Hip Hop. Jiji la Mwanza limekuwa likifanya vizuri sana kwenye muziki huu wa Hip Hop na hilo limejiziilisha kwa mwanamuziki mahiri kutoka pande za Mwanza Fid Q kusimama imara na kuiwakilisha vizuri Hip Hop pande za Mwanza
Kupitia mwanaharakati wa blog yetu aliweza kufatilia na kuongea na wadau wa muziki huu jijini mwanza na kuweza kupata tasmini nzuri juu ya mwanamuziki Young killa anaekuja kwa kasi kunako game hii ya Hip Hop hapa bongo.msanii young killa ndio anaekubalika kwa sasa.wakiongea wadau wa muziki huu na mwanaharakati wetu Shekh Pipi wallimsifia sana na kumpongeza kwani ukiacha Fid Q ni yeye pekee ndio msanii mwenye mashairi yenye kutumia akili nyingi sana kitu ambacho Umpa heshima kubwa sana Fid Q. Wakazi wa mji huu mwanza kikubwa wanamtakia mafanikio makubwa sana Msanii Young Killa
Msanii Fid Q ndio anaekulika sana Nyumbani Mwanza
Msanii Young killa ndio anaefata nyayo za Msanii Fig Q
HII NDIO NYIMBO INAYOPENDWA ZAIDI NA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...