Quick Rocka aka The
Switcher ,Rapper aliyeanza Na The
Rockas na baadae kuja kufanya kazi
kama solo artist chini ya lebel ya
Mj Records alipotoa single ya Bullet
ft Q Jay ambayo ndio ilimpa
umaarufu zaidi Tanzania amefungua
studio yake. Jina la studio hio ni
Switcher Records.
Source: DjfettyBlog
0 comments:
Post a Comment