Friday, 19 July 2013

MGOGORO WA MACHINGA WAPATIWA SURUHU JIJI MWANZA.

serilikali yatenga maeneo ya kufanyia biashara jijini mwanza hii ni baada ya makubaliano baina ya chama cha machinga na serikali jijin apa.
maeneo yaliyopangwa ni pamoja na makoraboi, dampo, darajani, stendi ya mkuyuni, sahara na sokoni. maeneo haya yanapatikana katikati ya mji,

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...