Monday, 22 July 2013

MWANAMFALME MWINGINE KUZALIWA LEO NCHINI UINGELEZA

nchini Uingereza watu
wanasubiri kwa hamu na ghamu
kupata habari za kuzaliwa kwa
mwanamfalme mwingine....kwani
mkewe Prince William, Kate Middleton
anatarajiwa kujifungua mtoto hii leo.
Tayari amekimbizwa hospitalini akiwa
anaumwa tayari kwa hilo...

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...