wAKATI AMANI INALEGALEGA NI MHIM KILA MMOJA WETU KUJUA KUWA ANAPASWA KUILINDA AMANI KWA NGUVU ZAKE ZOTE BILA KUJALI NAFASI YAKE
MATOKEO YA KUTOWEKA KWA AMANI YANAAMBATANISHA MAMBO MENGI SANA AMBAYO HULIACHA TAIFA HUSIKA KATIKA WAKATI MGUMU.HULETA VITA, HUTESA SANA WAMAMA,HUTESA SANA WATOTO, WAZEE HUFA KWA PRESHA HATA KABLA YA KITENDO CHA KUWAUA HAKIJATENDWA,WABABA HUGEUKA CHAMBO,VIJANA HUTEKWA NA KULAZIMISHWA KUUA WENZAO NA BAADHI YAO WAKIULIWA KIKATILI, KILA ZURI ULIONALO HUTOWEKA NA KILA UMUONAE MBELE YAKO HUGEUKA ADUI YAKO,HULETA NJAA,MARADHI NA KILA BAYA ULIJUALO.
KEMEA UDINI, KEMEA SIASA CHAFU. JENGA TANZANIA IMARA YA KESHOKUTWA. MUNGU IBARIKI TANZANIA.

0 comments:
Post a Comment