Thursday, 29 August 2013

M23 waua Meja wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) - UN Yalaani!

KINSHASA, Congo (AP) — United Nations forces and the Congolese army attacked rebel positions with helicopter gunships, armored personnel carriers and a phalanx of ground troops Wednesday, ramping up the U.N.'s engagement in the latest rebellion to roil this country's tormented east. The fighting was some of the fiercest in the week since the newly created U.N. intervention brigade went on the offensive, and one Tanzanian peacekeeper was...

PICHA: FIESTA SINGIDA nooma saana..., SHILOLE AONYESHA BIKINI JUKWAANI.

...

AJALI MBAYA YATOKEA SAIVI :MWANZA

Ajali mbaya yatokea saivi kwenye makutano ya barabara iendayo Ilemela na Mwaloni Jijini Mwanza na kusababisha kuumia vibaya kwa dereva wa pikipiki aliyekuwa amepakia abiria baada ya kugongana na Hiace iliyokuwa inatokea mjini. Dereva wa pikipiki na abiria wake walichukuliwa na kukimbizwa Hospital.Polisi wa Usalama barabani walibaki eneo la tukio kwa kuendelea na kazi yao ya Upimaji  &nbs...

AUDIO:MIRROR - BABY (Download na Sikiliza hapa)

...

VIDEO GK EXCLUSIVE INTERVIEW AT CLOUDS FM XXL

...

Tuesday, 27 August 2013

Baada Ya Ku-Rap Kwa Miaka Mingi Sasa, Hiki Ndicho Kitu Ambacho Jay Moe Anataka Kukifanya Kwa Sasa

Juma Mchopanga, maarufu kama Jay Moe, Mchora Mistari na pia rapper ambaye anaweza sana, baada ya kukaa katika game kwa miaka mingi sasa, ameamua kuongeza wigo wa kipaji na sanaa yake kwa kuanza kutengeneza midundo/beats akiwa na ndoto za kuwa producer mkali katika siku za usoni. Jay Moe amesema kuwa ameamua kuchukua uamuzi huu kutokana na kuwa na uzoefu wa muda mrefu kukaa studios karibu na maproducer wakali - P Funk akiwa namba moja kwenye...

Unajua kuhusu single mpya ya Diamond inayokuja? cheki picha hapa

Diamond yupo kwenye hatua za mwisho kutoa wimbo wake na video yake ya “Number one” ambapo tayari picha kadhaa zimetoka kwenye internet zikionyesha sehemu ya video hiyo yenye magari ya kifahari ndani yake pamoja na vitu vingine. Kwenye hizi siku kadhaa kabla hajaiachia, Diamond anaendelea kuwaonjesha mashabiki wake ladha ya huu wimbo kabla hata haujatoka ambapo kwenye official twiiter account zake za  twitter, facebook na instagram...

EXCLUSIVE[Video] - Young Dee - KIJUKUU

...

WEMA SEPETU NA ROMMY JONSON AMBAE NI RAFIKI WA KARIBU WA DIAMOND NI WAPENZI.......???

Wema Sepetu akimbusu Rommy Jonson. Na Gladness MallyaLICHA ya kunaswa katika matukio tofauti, Wema Sepetu hasikii. Safari hii imenaswa picha inayomuonesha akimshushia busu motomoto jamaa anayefahamika kwa jina la Rommy Jonson. Picha hiyo ambayo inamuonesha Wema akiwa anambusu jamaa huyo katika pozi lenye hisia kali za kimalovee, imenaswa juzikati katika mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo wadau mbalimbali walioiona kwa mara...

Sunday, 25 August 2013

MDOGO WAKE MAREHEMU STEVEN KANUMBA,AIBUKIA DSM NA KUSEMA MANENO HAYA MAZITO

Lameck Charles Kanumba anavyoonekana kwa karibu, baada ya kuzungumza mengi  Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam MDOGO wake marehemu Steven Charles Kanumba, anayeitwa Lameck Charles Kanumba, ameibukia jijini Dar es Salaam, huku akisema kuwa kaka yake anamtokea ndotoni na kuzungumza naye mambo mengi, yanayohusu familia na sanaa ya Tanzania. Lameck aliyasema hayo mapema jana mchana, ikiwa ni miezi mine tangu alipokuja jijini...

CHRISS BROWN AMPA USHINDI MLEMAVU ALIYEFANYA FREESTYLE ILIYOMUACHA HOI CHEKI VIDEO HAPA

Ni moja ya mashindano yanayozaminiwa na BET pande za marekani.msanii blind fury kutoka pande za huko huko marekani ni msanii ambaye ni mlemavu wa macho katika mashindano hayo ya freestyle battle msanii blindfury aliyekuwa akishindana na msanii mwengine kwa jina Artison.alijikuta katika wakati mgumu baada ya msanii mwenzake kufanya freestyle zilizowaacha hoi Jaji Chris Brown na wenzake Cheki Video hapa ilivyokuw...

KAMA HUJAWAHI KUFIKA MWANZA HIZI NDIO SEHEMU MAARUFU JIJINI MWANZA CHEKI HAPA

...

Hemedy azungumza baada ya Ajali aliyoipata jana, hichi ndicho alichokisema

Baada ya kupata ajali ya gari jana alipokuwa akimrudisha rafiki yake Gelly wa rhymes (Mwanamuziki wa bongofleva) nyumbani kupitia ukurasa wake wa mtandao kijamii mwigizaji na mwanamuziki Hemedy Suleiman amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa anaendelea vizuri licha ya ajali iliyomkuta. Akiandika Hemedy amesema “NAMSHUKURU MUNGU NAENDELEA VIZURI LICHA YA AJALI MBAYA ILIYONIKUTA..Ahsante kwa dua zenu..KIFUA TU NDIO KIMEUMIA SANA NA MKONO...” Tunafanya...

Hatimaye filamu ya Foolish Age ya Lulu yapewa kibali rasmi cha kuoneshwa

Baada ya kutokea kwa utata kuhusu kukwama kwa filamu ya Foolish Age ya mwanadada Elizabeth Michael (Lulu) katika bodi ya filamu Tanzania, hatimaye filamu hiyo imepewa kibali rasmi cha kutolewa baada ya marekebisho yaliyotakiwa kufanyika katika filamu hiyo, kufanywa kwa mujibu wa maelekezo ya bodi hiyo Filamu hii inayotarajiwa kuzinduliwa rasmi kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam siku ya tarehe 30 mwezi huu, imepewa kibali...

Saturday, 24 August 2013

(Official Music Video) Steve WW ft. Diamond - Nyota

...

NEW VIDEO | Jokate feat. Lucci - Kaka Dada

...

AUDIO | Jokate & Lucci - Kaka dada | Download

...

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...