Tazama picha za kijana Sabri Ismail Bitegeko Mzaliwa wa Mwanza
Mjini,Mwanafunzi Sabri Ismail Bitegeko kupitia mkoa wa Shinyanga ndo
kijana aliyeibuka Tanzania One kwenye mtihani wa Darasa la saba mwaka na
kuchaguliwa shule ya vipaji maalum ILLBORU Iliyoko Mkoani Arusha
Huyu ndiye baba mzazi wa Kijana Sabri Ismail Bitegeko ndio Mzee Ismail Bitegeko
0 comments:
Post a Comment