Thursday, 29 August 2013

AJALI MBAYA YATOKEA SAIVI :MWANZA

Ajali mbaya yatokea saivi kwenye makutano ya barabara iendayo Ilemela na Mwaloni Jijini Mwanza na kusababisha kuumia vibaya kwa dereva wa pikipiki aliyekuwa amepakia abiria baada ya kugongana na Hiace iliyokuwa inatokea mjini.
Dereva wa pikipiki na abiria wake walichukuliwa na kukimbizwa Hospital.Polisi wa Usalama barabani walibaki eneo la tukio kwa kuendelea na kazi yao ya Upimaji 




 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...