Sunday, 25 August 2013

CHRISS BROWN AMPA USHINDI MLEMAVU ALIYEFANYA FREESTYLE ILIYOMUACHA HOI CHEKI VIDEO HAPA

Ni moja ya mashindano yanayozaminiwa na BET pande za marekani.msanii blind fury kutoka pande za huko huko marekani ni msanii ambaye ni mlemavu wa macho katika mashindano hayo ya freestyle battle msanii blindfury aliyekuwa akishindana na msanii mwengine kwa jina Artison.alijikuta katika wakati mgumu baada ya msanii mwenzake kufanya freestyle zilizowaacha hoi Jaji Chris Brown na wenzake
Cheki Video hapa ilivyokuwa

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...