Kiungo
wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Simba Mwinyi Kazimoto akiwa na
Gwiji wa soka wa Hispania na Real Madrid Raul Gonzalez huko Qatar
alipokuwa ameenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa. Mtandao
huu umepata nafasi ya kuongea na Kazimoto na kwa kifupi ameomba radhi
kwa kutoroka - pia amesema amefanikiwa kupata timu huko alipo. Je
ungependa kujua Simba imelipwa shilingi ngapi kwenye uhamisho huu wa Kazimoto???? - Endelea kutembelea mtandao huu.
Chanzo na Shaffihdauda
0 comments:
Post a Comment