Tuesday, 27 August 2013

Unajua kuhusu single mpya ya Diamond inayokuja? cheki picha hapa


d1
Diamond yupo kwenye hatua za mwisho kutoa wimbo wake na video yake ya “Number one” ambapo tayari picha kadhaa zimetoka kwenye internet zikionyesha sehemu ya video hiyo yenye magari ya kifahari ndani yake pamoja na vitu vingine.
Kwenye hizi siku kadhaa kabla hajaiachia, Diamond anaendelea kuwaonjesha mashabiki wake ladha ya huu wimbo kabla hata haujatoka ambapo kwenye official twiiter account zake za  twitter, facebook na instagram Diamond anapost picha zenye mistari kadhaa ikiwa na #NumberOne.
1
Baadhi ya mashabiki wameshaanza kuelewa na kuanza kufatilia hii single mpya ambapo kwenye headlines nyingine, inaaminika Diamond anaweza kufanya uzinduzi mkubwa na wa tofauti sana kwa ajili ya hii video ya number one ambayo ameifanya nchini South Africa.

d3

d2

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...