“Nafurahi kuona jinsi kioo cha jamii hivi sasa kimeigusa familia
kabisa, ukizungumzia nyumba unagusa swala la familia ambalo ndiyo msingi
wa Taifa lolote.” Haya yalikuwa ni baadhi ya maneno ya Mtitu, mmoja
kati ya watu maarufu ambao wamehusika kwenye show ya Irene Uwoya.
Katika harakati za kutengeneza TV show yake, Irene amekutana na
mastaa tofauti na kuzungumza nao mambo mengi ambayo yatakuwa kwenye show
yake, chukua time yako kuona jinsi ilivyokuwa na upate
sababu nyingine ya kuangalia hii show kupitia @CloudsTV leo saa 3 na
nusu usiku na pia unaweza kucheki promo yake hapo pembeni.
Tuesday, 6 August 2013
Picha za behind the scene mastaa wa bongo kwenye show ya Irene Uwoya.
07:29
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment