Tuesday, 27 August 2013

WEMA SEPETU NA ROMMY JONSON AMBAE NI RAFIKI WA KARIBU WA DIAMOND NI WAPENZI.......???

Wema Sepetu akimbusu Rommy Jonson.


Na Gladness Mallya
LICHA ya kunaswa katika matukio tofauti, Wema Sepetu hasikii. Safari hii imenaswa picha inayomuonesha akimshushia busu motomoto jamaa anayefahamika kwa jina la
Rommy Jonson.

Picha hiyo ambayo inamuonesha Wema akiwa anambusu jamaa huyo katika pozi lenye hisia kali za kimalovee, imenaswa juzikati katika mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo wadau mbalimbali walioiona kwa mara ya kwanza, walitoa maoni yao.
“Mh! Jamani Wema sasa amezidi hata huyu naye? Kama ni picha ya kawaida kwa nini aoneshe hisia za kimalovee kiasi hiki? Kuna kitu,” alihoji mdau mtandaoni ingawa Wema hakujibu chochote.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...