Baada
ya kuwa na maswali mengi kwa Hemed PhD kuhusiana na kuchelewa kwa
video ya ngoma yake ambayo amefanya na Mr Blue 'Rest of my Life',
msanii huyu ameweka wazi kuwa mnchongo wa kupiga picha za video hii
utaanza rasmi baada ya kukamilika kwa mwezi wa Ramadhani.
Hemed
ameweka wazi kuwa, Mwishoni mwa mwezi huu tarehe 30 itakuwa
anasherekea siku yake ya kuzaliwa, siku ambayo pia amepanga kufanya
kuzindua video hii ambapo mipango inaonyesha kuwa utakuwa
imekwishakamilika na itakuwa ni bonge la 'kioo' a.k.a Video.
Keep
ur heads upppp!
0 comments:
Post a Comment