Monday, 12 August 2013

Jinsi party ya “Dada Dina Cares” ya Dina Marios ilivyoenda kwenye fukwe za bahari ya hindi.


OLYMPUS DIGITAL CAMERADada Dina Cares ni mpango ambao Dina Marios wa Leo Tena ya Clouds FM alikuwa anaufanya katika kusherekea tuzo yake aliyoipata kama Mwanamke wa  mwaka kutoka “Women Achievement Awards”. Dinah analezea kwamba badala ya kufanya party na marafiki pamoja na wadau wake, ameona ni vema kuwasaidia vituo vitatu vya watoto yatima kutoka Temeke.Kinondoni na Ilala ikiwa ndiyo njia yake ya kusherekea tuzo hiyo. Jumapili tarehe 11 vituo vyote vitatu vilikusanyika maeneo ya Azura beach pamoja na familia nyingine na watoto wao kusherekea pamoja.
Wasanii kama Snura,Queen Darleen,Dr Cheni walikuja na watoto wao kwenye hii party. Cheki mambo yote yalivyokwenda na jinsi watoto walivyofurahia hili tukio.
OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA

 
OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA


OLYMPUS DIGITAL CAMERA

Use Facebook to Comment on this Post

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...