Monday, 12 August 2013

Madee atembelea kaburi la Mangwea


1Msanii wa bongoflava “Madee”, ametumia muda wake wa ziada kwenda kutembelea kaburi la msanii marehemu Albert Mangwea ambaye alipatwa na mauti akiwa nchini South Africa na kuzikwa Morogoro. Madee ambaye alikuwa Morogoro kufanya show, pia hakusahau kwenda kutembelea kaburi la Ngwea.Hizi ni baadhi ya picha jinsi alivyokwenda kulitembelea kaburi hilo
madee

madee2

Use Facebook to Comment on this Post

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...