Aibu sana inakuwaje unafanya mapenzi na mpenzi wako ama mchumba kabisa
unae tarajia kumua alafu unapiga picha faragha yenu kwenye simu yako na
kukaa na hizo picha bila kufkiria labda unaweza poteza simu kwa bahati
mbaya ama kuibiwa simu na vibaka baada wakiangalia ndani wanakuta hizo
picha chafu....Jamii tufungue macho huu mtindo umezidi sana kwa sasa
....
Sunday, 18 August 2013
AIBU: PICHA CHAFU ZA MTU NA MCHUMBA WAKE ZAVUJA ....
06:23
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment