Monday, 12 August 2013

Hivi ndiyo Wema Sepetu alivyosherekea sikukuu ya Eid Hivi ndiyo Wema Sepetu alivyosherekea sikukuu ya Eid


mdada1Sikukuu kila mtu huwa anapenda kuisherekea kitofauti zaidi. Hivi ndivyo muigizaji Wema Sepetu aliamua kuisherekea kwa upande wake, alitumia muda wake wa sikukuu ya Eid kukaa pamoja na wazazi wake wote wawili na kusherekea pamoja nyumbani kwao ikiwa ni pamoja kupiga nao story nyingi. Picha kama hii haijawahi kutoka ikimuonyesha Wema akiwa na wazazi wake wote wawili. Mara nyingi anakuwaga na mama yake na mara moja alionekana kuwa na baba yake.
mdada

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...